1.Pigia mstari kwenye nomino katika sentensi hizi
a).Tutakwea mlima kesho
b).Fatuma anafagia vizuri
c).Punda wetu ameshiba
d)Panzi anaruka
e).Mgeni amefika

2.Taja nomino za vitu vitano vinavyopatikana darasani
3.Tunga sentensi kwa kutumia nomino zifuatazo
a)Yai. b) Mtoto. c) Nyumba
3.Kamilisha sentensi kwa kutumia vitenzi vifuatavyo
(aliimba,anapika,tutunze,kuongea,andika)
a)Mpishi ______chakula kitamu
b)Mwimbaji yule_____wimbo vizuri
c)______kwa mwandiko mzuri
d)Ni makosa_____ unapokula
e)______ mazingira yetu
4.Piga mstari kwenye vitenzi
a)Mwalimu anafundisha
b)Mama anaosha msala
c)Mtoto anaruka Sana
d)Mjenzi anajenga nyumba